.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 29 Mei 2015

Tagged Under:

WACHEZAJI WA ARSENAL WAFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA FAINALI YA FA CUP JUMAMOSI DHIDI YA ASTON VILLA, WENGER ATAKA USHINDI!! DANNY WELBECK NJE!

By: Unknown On: Ijumaa, Mei 29, 2015
  • Share The Gag


  • Wachezaji wa Arsenal akiwemo  Robert Pires wajifanya mazoezi yao tayari kwa Fainali ya kesho jumamosi dhidi ya Aston Villa kwenye FA Cup

    Walcott anataraja kufanya vyema zaidi ya Olivier Giroud Wembley baada ya kupiga hat-trick dhidi ya West Bromwiki iliyopita.

    Mesut Ozil akimiliki mpira

    Meneja Arsene Wenger akimcheki kijana wake  Alexis Sanchez wakati wa mazoezi huko London Colney

    Danny Welbeck kuikosa Fainali hiyo ya FA Cup kesho jumamosi

    Alexis Sanchez,  Francis Coquelin na kushoto ni Mikel Arteta

    Mathieu Debuchy karudi na hapa alikuwa akimkaba  Theo Walcott

    Walcott na Pires wakiteta jambo kwenye uwanja wao wa mazoezi wa London Colney

    Santi Cazorla akikabwa na  Laurent Koscielny pamoja na  Francis Coquelin
     Per Mertesacker akiangaliwa nae na Meneja

    0 maoni:

    Chapisha Maoni