


Steven Gerrard aliingia Uwanjani na Watoto wake wakati wa Mechi ya kumuaga rasmi leo Anfield.
Wachezaji wenzake wa Liverpool wakimpa heshima Steven Gerrard
Picha ya Pamoja
Steven G. akiondoka Uwanjani na wanae tayari mchezo kuanza Anfield
Heshima kwa mkongwe Steven Gerrard
Taswira
Bye bye Anfield!!
Kila shabiki leo alikuwa na hamu kubwa ya kumuaga Steven Gerrard.
Shujaa Steven Gerrard


Taswiara ya Uwanjani Anfield leo wakati wa kumuaga Kepteni Steven Gerrard.
0 maoni:
Chapisha Maoni