Loic Remy akiisaidia Chelsea kusawazisha kwa kufanya 1-1 na mtanange kwenda dakika 120
1-0
Jonathan Walters akiifunga Chelsea dakika ya 52 kipindi cha pili,
katika dakika za majeruhi Loic Remy ameisawazishia Chelsea bao na
kufanya 1-1 na mpira kwendelea katika dakika za ziada 30 kwenye Uwanja
wa Britannia Stadium huku Stoke wakiwa pungufu 10 uwanjani baada ya
mwenzao Phillip Bardsley kupata kadi nyekundu dakika ya 90.
Diego Costa aumia na kutolewa nje

VIKOSI:
Chelsea starting XI
Begovic, Zouma, Cahill, Terry, Baba, Ramires, Mikel, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa.
Stoke City starting XI
Stoke City starting XI
Butland, Bardsley, Shawcross, Wollscheid, Muniesa, Whelan, Adam, Afellay, Arnautovic, Diouf, Walters.
0 maoni:
Chapisha Maoni