
Dakika ya 77 na dakika ya 80 Messi alitikisa nyavu!
Lionel
Messi aliifungia bao safi kwa shuti kali baada ya kupewa pasi na Daniel
Alves na dakika chache baadae dakika ya 80 Lionel Messi aliwachoma bao
la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani baada ya
kupewa mpira na Ivan Rakitic. 
Kimya kimya!!


Messi pia alifanya kutoa pasi safi kwa Neymar aliyejaza bao la tatu na mtanange kumalizika kwa bao 3-0

Hakuna majibu!!

Umechelewa tangu asubuhi!!

Hadi nyavuni mwako!!

Messi akishangilia bao lake la kwanza

Pisha njia!
ZIKIWA
zimebaki dakika za nyongeza Neymar alitanguliziwa pasi na Messi na
kisha kuwachomoka mabeki na kwenda kufunga bao la tatu na kumwancha kipa
wa Bayern akiduwaa bila majibu.
Neymar akifanya 3-0

Neymar akishangilia bao lake

Barca wakipongezana mbele ya mashabiki wao

Juan akimchomoka Iniesta wa Barca!

Neymar akiwania mpira wa Kichwa

Suarez dhidi ya Kipa Manuel

Suarez!!

Rafinha akipiga tiktaka!

Chupuchupu Suarez achomeke bao!!

Kipa Manuel akiokoa!
Mpaka dakika 45 zinakatika hakuna mbabe, Timu zote mbili zilikuwa 0-0
Kikosi cha Barcelona kilichoanza

Wamekutana Mameneja timu zote mbili!

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Mchambuzi wa soka kwa sasa Thierry Henry akiingia
VIKOSI:
Barcelona wanaoanza: Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mascherano, Alba, Rakitic, Busquets, Iniesta, Suárez, Messi, Neymar
Akiba: Bravo, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano, Vermaelen
Bayern Munich wanaoanza: Neuer, Rafinha, Benatia, Boateng, Lahm, Alonso, Thiago, Bernat, Schweinsteiger, Müller, Lewandowski
Akiba: Reina, Dante, Martinez, Pizarro, Gaudino, Götze, Weiser
Mwali wa Klabu Bingwa huyoo!


Karibu!
0 maoni:
Chapisha Maoni