.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 29 Novemba 2014

JACK WILSHERE NJE MIEZI 3!

By: Unknown On: Jumamosi, Novemba 29, 2014
  • Share The Gag

  • Arsenal Jack Wilshere atakuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitatu baada ya kufanyiwa operesheni ya enka yake hii Leo.
    Wilshere aliumia Jumamosi iliyopita wakati Arsenal inachapwa Bao 2-1 na Manchester United Uwanjani Emirates.
    Habari hizi za operesheni ya Wilshere zimethibitishwa na Arsenal na mwenyewe Wilshere aliposti Picha yake Mtandaoni akiwa Kitandani baada ya kufanyiwa hiyo operesheni.

    Kukosekana kwa Wilshere ni pigo kubwa kwa Arsenal ambayo sasa imekumbwa na Majeruhi wengi baada ya pia Jumatano kupoteza Wachezaji wawili walioumia kwenye Mechi ya Kundi lao la UEFA CHAMPIONS LIGI walipoifunga Borussia Dortmund Bao 2-0.
    Wachezaji hao wawili ni Nahodha wao Mikel Arteta na Yaya Sanogo ambao watakuwa nje kwa muda abao unaweza kufikia hata Wiki 6.

    Majeruhi wengine wa Arsenal ni Mesut Özil, Theo Walcott, Danny Welbeck, Mathieu Debuchy, Abou Diaby, Wojciech Szczesny na David Ospina.
    Kuhusu balaa hilo, Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameeleza: “Hali hii ya majeruhi ni tatizo kwani tuna Mechi nyingii.”

    RATIBA ZA WIKIEND HII, ENGLISH PREMIER LEAGUE, LA LIGA, SERIE A, BUNDESLIGA

    By: Unknown On: Jumamosi, Novemba 29, 2014
  • Share The Gag

  • RATIBA - LIGI KUU ENGLAND
    Jumamosi Novemba 29

    15:45 West Brom v Arsenal
    18:00 Burnley v Aston Villa
    18:00 Liverpool v Stoke
    18:00 Man United v Hull
    18:00 QPR v Leicester
    18:00 Swansea v Crystal Palace
    18:00 West Ham v Newcastle
    20:30 Sunderland v Chelsea

    Jumapili Novemba 30
    16:30 Southampton v Man City
    19:00 Tottenham v Everton

    *********************************** 

    RATIBA - SERIE A
    Jumamosi Novemba 29

    2000 Sassuolo v Verona
    2245 Chievo v Lazio

    Jumapili Novemba 30
    1700 AC Milan v Udinese
    1700 Cesena v Genoa
    1700 Empoli v Atalanta
    1700 Palermo v Parma
    2000 Juventus v Torino
    2245 AS Roma v Inter Milan

    ***********************************

    RATIBA - LA LIGA
    Ijumaa Novemba 28

    22:45 Real Sociedad v Elche

    Jumamosi Novemba 29
    18:00 Getafe v Athletic Bilbao
    20:00 Espanyol v Levante
    22:00 Malagav Real Madrid
    00:01 Celta Vigo v Eibar

    Jumapili Novemba 30
    14:00 Atletico Madrid v Deportivo La Coruna
    19:00 Sevilla v Granada
    21:00 Cordoba v Villarreal
    2300 Valencia v Barcelona

    *********************************** 

    RATIBA - BUNDESLIGA
    Ijumaa Novemba 28

    22:30 SC Freiburg v Stuttgart

    Jumamosi Novemba 29
    17:30 Bayer Leverkusen v Cologne
    17:30 FC Augsburg v Hamburg
    17:30 Hertha Berlin v Bayern Munich
    17:30 Schalke v Mainz
    17:30 Werder Bremen v SC Paderborn 07
    20:30 Hoffenheim v Hannover 96

    Jumapili Novemba 30
    17:30 Wolfsburg v Borussia Monchengladbach

    19:30 Eintracht Frankfurt v Borussia Dortmund

    Bayern, baada ya Mechi 12 za Ligi, wako kileleni wakiwa Pointi 7 mbele ya Timu ya Pili Wolfsburg.
    Hertha Berlin wao wako Nafasi ya 13 wakiwa Pointi 16 nyuma ya Bayern.

    Wolfsburg wao Jumapili watakuwa Nyumbani kuiva Borussia Monchengladbach ambao wako Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 3 nyuma yao. Vigogo Borussia Dortmund, ambao Msimu huu wameporomoka vibaya kwenye Bundesliga wakiselelea Nafasi ya 16 ikiwa ni Nafasi ya 3 toka mkiani, Jumapili wako Ugenini kuivaa Eintracht Frankfurt ambayo iko Nafasi ya 12 wakiwa Pointi 4 mbele ya Dortmund.

    Jumatano, 26 Novemba 2014

    APOEL NICOSIA 0 v 4 BARCELONA,

    By: Unknown On: Jumatano, Novemba 26, 2014
  • Share The Gag

  • Lionel Messi celebrates after scoring his 73rd Champions League goal - and he went on to get anotherLuis Suárez ndie aliyeanza kuliona lango la Apoel Nicosia kipindi cha kwanza dakika 27 kisha bao zilizofuata ni za supa Staa Lionel Messi akifunga Hat-trick usiku huu na Kuvunja Historia bao pili akilifunga dakika ya 38, Kipindi cha pili alifunga bao mbili dakika ya 58 na dakika ya lala salama dakika ya 87. Messi looks to the heavens after his first goal of the night - and his 72nd in the Champions League overallMessiakifikisha bao 74 usiku huu na kuvunja rekodi ya Raul The Argentinian has broken two goalscoring records in a week - La Liga and now Champions LeagueMessi akishangilia bao lake baada ya kutupia hat-trick na kuvunja rekodi ya Raul.

    SCHALKE 0 v 5 CHELSEA,

    By: Unknown On: Jumatano, Novemba 26, 2014
  • Share The Gag

  • Chelsea's Ivorian striker Didier Drogba celebrates scoring with his team-mates after scoring the 4thWachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kuisambaratisha Schalke 04Schalke's Italian head coach Roberto Di MatteoKocha Roberto Di Matheo wa SchalkeJose Mourinho is photographed as he sits on the bench prior to the matchFundi na mbwembwe zake!!Chelsea's players pose for the team photoKikosi kilichoanza cha Chelsea
    John Terry alifunga bao la mapema dakika ya 2 na kuifanya Chelsea kuongeza mabao zaidi kwa timu inayofundishwa na kocha wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matheo.
    Willian alipachika bao la pili dakika ya 29 na bao la Tatu lilikuwa la kujifunga wao wenyewe Schalke 04 kupitia kwa Jan Kirchhoff dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza. Didier Drogba alifunga bao la nne kipindi cha pili dakika ya 76 na Ramires alimaliza bao la mwisho ndani ya dakika chache kwenye dakika ya 78.
    Bao!!!Chelsea players celebrate after John Terry scored their first goal

    UEFA CHAMPIONS: MANCHESTER CITY 3 - 2 BAYERN MUNICH,

    By: Unknown On: Jumatano, Novemba 26, 2014
  • Share The Gag
  • Sergio Agüero alifunga bao zote tatu na kuipa ushindi Man City dhidi ya Bayern Munich ambao walikuwa wanacheza Mtu 10 Uwanjani. Ushindi huu unawatoa mkiani na kupanda kwa kutimiza pointi tano kwenye kundi lao E. City sasa Kukipiga sasa Roma huku Bayern wakikipiga na CSKA Moscow mchezo ujao.Sergio Aguero celebrates scoring his team's second goal3-2
    Hetitriki ya Sergio Aguero imeweka hai matumaini ya Man City kufuzu kuingia Raundi ya Mtoano baada ya kuwafunga Mtu 10 Bayern Munich Bao 3-2 huku Aguero akipiga Bao 2 Dakika 5 za mwisho wakati Bayern walikuwa mbele 2-1.
    Man Citywalipewa Penati Dakika ya ya 20 kufuatia Sentahafu Medhi Benatia kumwangusha Sergio Aguero ambae alifunga Penati hiyo huku Benatia akipewa Kadi Nyekundu.
    Bayern walisawazisha kwa Bao la Alonso Dakika ya 40 na Robert Lewandowski kuwapa Bao la Pili Dakika ya 45.
    Bao 2 nyingine za Aguero zilifungwa Dakika za 85 na 90.
    Kwenye Mechi ya awali iliyochezwa huko Moscow, AS Roma waliongoza kwa Bao la Francesco Totti katika Dakika ya 43 lakini CSKA walisawazisha Dakika za Majeruhi kwa bahati tu kupitia Berezutski.
    Bao za Bayern Munich zilifungwa na Xabi Alonso dakika ya 40 kwa frii kiki na bao la pili kufungwa na Robert Lewandowski katika dakika ya 45 kwa kichwa safi.Aguero dakika ya 22 kipindi cha kwanza anaifungia bao la kwanza kwa mkwaju wa penati.

    Jumamosi, 22 Novemba 2014

    RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND 2014/15

    By: Unknown On: Jumamosi, Novemba 22, 2014
  • Share The Gag

  •                                           

    Jumamosi Novemba22

    18:00 Chelsea v West Brom
    18:00 Everton v West Ham
    18:00 Leicester v Sunderland
    18:00 Man City v Swansea
    18:00 Newcastle v QPR
    18:00 Stoke v Burnley
    20:30 Arsenal v Man United

    Jumapili Novemba 23
    16:30 Crystal Palace v Liverpool
    19:00 Hull v Tottenham

    Jumatatu Novemba 24
    23:00 Aston Villa v Southampton

    nafasiLOGO &TimuPWDLGDPTS
    1ChelseaChelsea119201729
    2SouthamptonSouthampton118121825
    3Manchester CityManchester City116321021
    4West Ham UnitedWest Ham United11533518
    5Swansea CitySwansea City11533418
    6ArsenalArsenal11452617
    7Manchester UnitedManchester United11443316
    8Newcastle UnitedNewcastle United11443-216
    9Stoke CityStoke City11434-115
    10EvertonEverton11353214
    11LiverpoolLiverpool11425-114
    12Tottenham HotspurTottenham Hotspur11425-214
    13West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion11344-213
    14SunderlandSunderland11263-712
    15Hull CityHull City11254-211
    16Aston VillaAston Villa11326-1111
    17Crystal PalaceCrystal Palace11236-69
    18Leicester CityLeicester City11236-79
    19Queens Park RangersQueens Park Rangers11227-118
    20BurnleyBurnley11146-137