.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 31 Mei 2015

Tagged Under:

SPANISH COPA DEL REY: ATLETICO BILBAO 1 - 3 BARCELONA, BARCA WATWAA KOMBE LA MFALME 2015! WABAKISHA MOJA LA UEFA!

By: Unknown On: Jumapili, Mei 31, 2015
  • Share The Gag

  • FC Barcelona, wamepiga hatua kuweka tena Rekodi ya kutwaa Trebo baada ya kutwaa Kombe la Mfalme, Copa del Rey, kwa kuitwanga Athletic Bilbao Bao 3-1 Uwanjani Nou Camp.
    Baada ya kutwaa La Liga na sasa Copa del Rey, Barca wana nafasi ya kubeba Mataji Matatu Msimu huu ikiwa wataifunga Juventus kwenye Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI itakayochezwa huko Berlin, Germany Juni 6.
    Neymar katikati akishangilia bao lake la pili kwa Barca kwa kuruka juu!
    Lionel Messi dakika ya 74 alifunga bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Atletico Bilbao. Bao pekee la Atletico kwenye hii Copa Del Rey limefungwa na IƱaki Williams dakika ya 80 na mtanange huo kumalizika kwa 3-0, Barca wakiibuka na Ubingwa.Messi akishangilia bao lake la kwanza dakika ya 20Neymar dakika 36 kipindi cha kwanza aliifungia bao la 2-0.Barcelona wakipongezanaLionel Messi dakika ya 20 Mashabiki wa BarcelonaMashabiki wawiti katikati ya msitu wa Bilbao!!! wako katikati ya Mashabiki wa Atletico Bilbao

    0 maoni:

    Chapisha Maoni