.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 29 Mei 2015

Tagged Under:

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

By: Unknown On: Ijumaa, Mei 29, 2015
  • Share The Gag


  • Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .
    PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

    Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba

    Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuli

    BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA.

    BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO

    0 maoni:

    Chapisha Maoni