.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 27 Mei 2015

Tagged Under:

KOCHA WA BOURNEMOUTH YA ENGLAND EDDIE HOWE NDIE MENEJA BORA. KWA MARA YA KWANZA AIPANDISHA LIGI KUU KLABU HIYO!

By: Unknown On: Jumatano, Mei 27, 2015
  • Share The Gag

  • Kocha wa Bournemouth ya England Eddie Howe
    Kocha wa timu ya soka Bournemouth ya England Eddie Howe ametajwa kuwa meneja bora wa mwaka wa shirikisho la mameneja wa soka nchini Uingereza LMA.
    Kutajwa kwa meneja huyo kunakuja kufuatia kuiongoza kwa mafanikio klabu yake ambayo imeingia ligi kuu ya England kwa mara ya kwanza tokea ianzishwe zaidi ya miaka 100 iliyopita. Howe anakuwa kocha wa pili kutoka nje ya ligi kuu kushinda tuzo hiyo tangia mwaka 1992. "siamini kabisa, ni jambao nisilotarajia" alisema kocha huyo.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni