.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 17 Mei 2015

Tagged Under:

DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON

By: Unknown On: Jumapili, Mei 17, 2015
  • Share The Gag

  • Diamond Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza baada ya msanii huyo mwenye jina kubwa Tanzania na Duniani kwa ujumla akiwa na timu yake walipotembelea Ubalozi huo mjini London.Diamond na vijana wake wakiiingia kwenye office za UbaloziWCB ndani ya mjengoMhe Balozi akimkaribisha DiamondDiamond nae akimshukuru Mheshimiwa Balozi kwa mwaliko wake Diamond Akitia saini Kitabu cha wageni

    0 maoni:

    Chapisha Maoni