Namibia
wamebeba COSAFA CUP kwa mara ya kwanza baada ya kuichapa Mozambique 2-0
kwenye Fainali iliyochezwa Moruleng Stadium huko Nchini South Africa.
Bao zote 2 za Namibia zilifungwa na Winga wao Deon Hotto.
Bao zote 2 za Namibia zilifungwa na Winga wao Deon Hotto.
0 maoni:
Chapisha Maoni