
Alipohojiwa ikiwa Van Persie ataendelea kuwa chaguo la kwanza la upigaji Penati, Van Gaal alijibu: "Hapana. Sasa ni mwisho."
Aliongeza: "Siku zote ni hivyo. Wayne Rooney alishawahi kukosa na ukikosa unarudi chini!" Kipigo hicho ni cha 3 mfululizo kwa Man United kwenye Ligi Kuu England na hii ni mara ya kwanza tangu 2001 kuchapwa mara 3 mfululizo kwenye Ligi.


Man United wako Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 4 mbele ya Timu ya 5 Liverpool huku Mechi zikiwa zimebaki 5.
0 maoni:
Chapisha Maoni