.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 13 Mei 2015

Tagged Under:

UEFA CHAMPIONS: REAL MADRID 1 vs 1 JUVENTUS(Agg 2-3)

By: Unknown On: Jumatano, Mei 13, 2015
  • Share The Gag



  • Real Madrid hoi!! wamelala kwao Bernabeu!Vichwa chini!!Kipa wa Juventus akishangilia Timu yake kutinga Fainali itakayochezwa mwezi ujao juni tarehe 06,2015 Olympiastadion, Berlin, GermanyKipindi cha pil dakika ya 57 Álvaro Morata aliwasawazishia bao Juventus na kufanya 1-1 na kuwaweka katika Hali ngumu Real Madrid. Sare hii inawapa Ushindi Juventus kupitia bao lake mchezaji wa Zamani wa Real Madrid Alvaro Morata kipindi cha pili na kwa kuwa Juve walikuwa wako mbele katika mechi ya kwanza walipotoka bao 2-1 na hivyo kufanya Jumla kuu Agg kuwa 2-3 hivyo Juve kwenda Fainali. Fainali sasa kuchezwa Mwezi wa Sita (June) tarehe 06, 2015 kati ya Juventus na Barcelona.Pia Fainali hiyo mpenzi wa bukobasports.com itakuwa ya aina yake kwani Luis Suarez kukutana uso kwa uso na Evra na Chiellini waliomfanya afungiwe Jumla ya Mechi 17 na Miezi Minne, na kutwangwa Faini ya Jumla ya Pauni Elfu 40 kipindi hicho.Hatari tupu!! Ronaldo hakulemba kabisa kupiga penati leo hii!Cristiano Ronaldo akshangilia bao lake la PenatiDakika ya 23 kipindi cha kwanza Cristiano Ronaldo anaipachikia bao la kwanza Real Madrid kwa mkwaju wa Penati na kufanya 1-0 dhidi ya Juventus. Bao hilo la Cristiano Ronaldo lilidumu na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele  na huku jumla ya magoli ya mtanange wa kwanza na huu japo bado dakika ya 45 ikiwa ni (Agg 2-2).Ronaldo akishangilia bao lake mbele ya Mashabiki wao Ndani ya Uwanja wa BernabeuWachezaji wa Juve wakimjia juu Mwamuzi wa mtanange baada ya kutokea penatiRonaldo chini akiutafuta mpira!
    VIKOSI:
    Real Madrid wanaoanza:
    Casillas, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Marcelo, Rodriguez, Isco, Kroos, Bale, Benzema, Ronaldo
    Real Madrid Akiba: Navas, Pepe, Fabio Coentrao, Hernandez, Arbeloa, Jese, Illarramendi
    Juventus wanaoanza: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Marchisio, Pirlo, Pogba, Vidal, Tevez, Morata
    Juventus akiba: Storari, Coman, Llorente, Barzagli, Padoin, Sturaro, Pereyra

    0 maoni:

    Chapisha Maoni