Chupchupuu!!!
Marouane
Fellaini aliifungia Manchester United bao la pili na kufanya 2-1 dakika
ya 78 na mtanange kumalizika United wakiibuka kidedea kwenye Uwanja wa
Selhurst Park, London mbele ya mashabiki 25009. Ushindi huu wa United
unawapa Matumaini ya Kucheza Klabu Bingwa Ulaya msimu Ujao kwani
wamefanikiwa kupata pointi 68 na wapo ndani nne bora wakiwa pia nafasi
ya nne.
Ashley Young akishangilia!
Jason Puncheon dakika ya 57 kipindi cha pili alisawazisha bao na kufanya 1-1.
Jason Puncheon akishangilia bao lake
1-1
Jason Puncheon baada ya kuweka sare
Juan Mata akichonga penati.
Mpaka nyavuni!
Mata akishangilia
Pongezi kwa Mata
Mchezo
huu pia Umemalizika ukimwachia Majeraha Luke Shaw na kulazimika
kuondolewa Uwanjani na huku Wayne Rooney akipumzishwa baada ya kuumia
Mguu.
Luke Shaw kaumia tena na Hapa ni Dokta akimcheki kwa karibu sana
Luke Shaw kaumia tena na kulazimika kuondolewa Uwanjani
Meneja wa Newcastle United Alan Pardew alipata muda akateta na wachezaji wake na kuwapa mbinu
Luke Shaw akiondolewa Uwanjani huko Ugenini Selhurst Park
Rooney nae yale yale!
Rooney alipumzishwa!
Wachezaji wa Crystal Palace wakimsimamia Mwamuzi Michael Olivier baada ya kutoa penati kwa United
Juan
Mata dakika ya 19 kipindi cha kwanza aliifungia United bao kwa mkwaju
wa penati nao Crystal Palace walisawazisha kupitia mpira wa adhabu frii
kiki iliyofungwa na Jason Puncheon dakika ya 57 kipindi cha pili na
kufanya 1-1.
Van Gaal akisalimiana na Meneja mwenzie Alan Pardew
0 maoni:
Chapisha Maoni