





2


Floyd Mayweather akimtupia Konde Manny Pacquiao kwenye Ukumbi wa MGM Grand garden Arena huko Las Vegas leo hii


Pacquiao akirusha konde kwa Mayweather na kukingwa
Pacquiao na Mayweather wakitafutana ubaya!



Katika Raundi ya kwanza kati ya MAYWEATHER vs PACQUIAO







Jamie Foxx akiimba wimbo wa Taifa
Mc's
Mke wa Manny Pacquiao Jinkee
Mwimbaji Mary J blige
Paris Hilton


Huko Ufilipino watu waketi kusubiri mpambano wa Karne
Kwenye Mji wa Marikina huko Ufilipino watu wakiwa katika Maeneo ya Plaza, Suburban Manila wakisubiri pambano la Mbunge wao.
Mwigizaji Don Cheadle akiwa na Bow Wow

Amir Khan

0 maoni:
Chapisha Maoni