Waliifunga bao 1-0 Timu ya Auxerre
Edinson Cavani ndiye aliyeitungua bao la pekee la kichwa Timu ya Auxerre
Cavani akipongezwa
PSG wakiungana kushangilia na kuwapongeza Mashabiki wao
Mashabiki wakiitikia kwa wingi!
Zlatan Iblahimovic akishikilia Kombe lao
Thiago Silva na Zlatan pamoja
Makombe yao juu

0 maoni:
Chapisha Maoni