

Straika wa Sevilla Carlos Bacca akiifungia bao la Ushindi kipindi cha pili dakika ya 73

Juhudi binafsi za Bacca zilimfanya aifungie bao mbili na Kipa wa Dnipro Denys Boyko Pamoja na kuwa kulilinda vyema lango lake hakuona ndani bao la mwisho la Bacca.

Bacca akishangilia

Carlos Bacca akiomba mara baada ya kufunga bao mbele ya wapiga picha pembeni ya Uwanja
Mchezaji wa zamani wa Blackburn Rovers Kalinic alishangilia bao lake huko Warsaw, Poland
Kalinic akipongezwa na Wana Dnipro

Dnipro Mashabiki waliosafiri kwenda kuishangiliaTimu yao
Carlos
Bacca ndie aliyewafungia bao la Ushindi Sevilla na kufanya Timu hiyo
kuibuka na Ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Dnopro. Ushindi huu unawafanya
Sevilla kulibeba kombe hilo kwa mara ya nne.
Carlos
Bacca akishangilia moja ya bao lake usiku huu kwenye Fainali. Bacca
kaifungia Sevilla bao 2 la pili na la tatu na kuipa Ushindi.
Balaa mpaka nyavuni!
0 maoni:
Chapisha Maoni