Katikati ni Timu Kepteni wao Troy Deeney
Tunapanda Ligi kuu
Timu Kepteni na Ujumbe wao muruha!
Timu ya Watford wakiwa na Meneja wao Bwana Slavisa Jokanovic jukwaani huko Cassiobury Park
Mashabiki
wa Timu ya Watford wakishangilia na kusherekea Kupanda kwa timu yao
Ligi Kuu England msimu wa 2015/2016 baada ya kukosa kwa misimu sita.
0 maoni:
Chapisha Maoni