Kwa raha zao Barca!
2-1
Neymay alifunga bao mbili kipindi cha kwanza!
Wachezaji wa Barca wakipongeza
Neymar akishangilia kwa raha zake!
Neymar akishangilia moja ya bao zake mbili za kipindi cha kwanza dakika ya 15 na 29.
Medhi
Benatia dakika ya 7 kipindi cha kwanza anaipatia Bayern Munich bao la
kuongoza. Dakika ya 15 Neymar alisawazisha bao baada ya kupewa pasi na
Luis Suarez.
Dakika ya 29 tena Neymar akawachapa bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Bayern Munich.
Medhi Benatia dakika ya 7 kipindi cha kwanza aliziona nyavu za barca.
Akipongezwa na Alonso
Raha ya bao la kwanza!!

Neymar akishangilia bao lake la kwanza!
Thomas Muller hoi!
Mchezo umekwisha!! 
Mpaka mapumziko Bayern walikuwa nyuma ya bao 2-1 kwenye uwanja wao wa Allianz Arena.
Suarez na mbwembwe zake katika kipindi cha kwanza...
Kikosi cha Bayern Munich
Kikosi cha Barcelona kilichoanza 11
Taswira kamili!
Wamekutana tenaaa!
Mwali anayetafutwa huyu hapa!
0 maoni:
Chapisha Maoni