.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 6 Septemba 2015

Tagged Under:

Wayne Rooney kaweka rekodi hii mbele ya mkewe Coolen na mtoto wake Kai

By: Unknown On: Jumapili, Septemba 06, 2015
  • Share The Gag
  • Kama ambavyo ilivyokuwa kwa upande wa bara la Afrika kuliwa na michezo kadhaa kupigwa weekend hii na bara la Ulaya ilipigwa michezo kadhaa ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro 2016. Timu ya taifa ya Uingereza Jumamosi ya Septemba 5 ilicheza mechi dhidi ya San Marino.
    2BFFF80D00000578-0-image-a-4_1441472152918
    Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney aliingia katika headlines baada ya kuifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote katika timu ya taifa ya Uingereza Sir Bobby Charlton, rekodi ambayo inatajwa kudumu kwa muda wa miaka 45. Rooney aliifikia rekodi hiyo baada ya kufunga goli moja katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya San Marino.
    2BFFF6CC00000578-0-image-a-16_1441472895911
    2BFFFE7500000578-0-image-a-8_1441472308888
    2BFFD97100000578-0-image-a-28_1441474265609
    Coolen Rooney akishuhudia Rooney akiingia katika rekodi ya kihistoria
    2C02769500000578-3223574-image-a-41_1441495378809
    Msimamo wa Kundi E

    0 maoni:

    Chapisha Maoni