.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 21 Septemba 2015

Tagged Under:

MAKUNDI MATANO YATINGA FAINALI YA SHINDANO LA DANCE100%

By: Unknown On: Jumatatu, Septemba 21, 2015
  • Share The Gag

  • Kundi la Wazawa crew la Tandale jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi

    Vijana wanaounda Kundi la WDW la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi

    Kundi la Quality Boys la Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi

    Vijana wanaounda Kundi la WDW la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni