.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 6 Septemba 2015

Tagged Under:

Pichaz za Neymar alipokutana na pacha wa mcheza tennis New York…

By: Unknown On: Jumapili, Septemba 06, 2015
  • Share The Gag

  • Winga wa kimataifa wa Brazil na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar ameingia katika headlines akiwa New York, Neymar ambaye yupo New York na timu yake ya taifa ya Brazil, ameingia katika headlines baada ya kupigwa busu na ndugu wa mcheza tennis kutokea Canada.
    2C06437200000578-0-image-a-53_1441553254036
    Neymar akipigwa busu na Beatrice ambaye ni pacha wa Eugenie Bouchard
    Beatrice ambaye ni pacha wa Eugenie Bouchard alipiga picha akimpiga busu staa wa Brazil Neymar wakiwa katika uwanja wa Red Bull Arena wakati ambapo Brazil walikuwa katika harakati za kucheza mechi ya kirafiki. Picha ambayo imekuwa stori katika mitandao ya kijamii.
    2C06424200000578-0-image-a-54_1441553270794
    2C06482600000578-0-image-a-55_1441553311284
    Beatrice na Eugenie Bouchard
    2BFD716000000578-3224262-image-a-66_1441554330862
    Mcheza tennis wa Canada Eugenie Bouchard

    0 maoni:

    Chapisha Maoni