.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 22 Septemba 2015

Tagged Under:

DANIELLE AONYESHA YAKE KINA MAMA WA ENGLAND WAKIIANGUSHIA KIPIGO CHA MBWA MWIZI ESTONIA

By: Unknown On: Jumanne, Septemba 22, 2015
  • Share The Gag


  • Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya wanawake ya England, Danielle Carter amepiga hat trick wakati wakishinda kwa mabao 8-0 dhidi ya Estonia.


    England imeibutua Estonia kwa mabao 8-0 katika mechi ya kuwania kucheza michuano ya Euro 2017.

    Katika mechi hiyo iliyopigwa katika dimba la Le Coq Arena, jana usiku, England ilionekana kutawala kila eneo na ingeweza kushinda hadi mabao 15.




    0 maoni:

    Chapisha Maoni