Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akihutubia
kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM leo hii jumatatu septemba 21, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akiongea na Wananchi wa Jimbo lake la Bukoba Mjini leo.
Mgombea Ubunge Bukoba Mjini.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji
vyake leo hii jumatatu septemba 21, 2015 kwenye Uwanja wa Gymkhana
Bukoba mjini.
Wengine waliparamia miti ili waone mkanda vyema!
kati ni Mh. Mwijage
Mwijage akisalimia Wananchi na kuwapa neno!
Fursa kwa wote!
Burudani ikishika kasi

Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Diamond Platinumz akitoa Burudani kwenye Mkutano huo

Mwenyekiti wa ccm Mkoa Kagera Mama Buhiye akifunguka kwenye mkutano huo.
Wasafi!!
Bushoke akiburudisha!
Bukobaaaa Mpooo!!!
Bushoke akiimba
Twendeee!
Viongozi meza kuu
Mr. Blue akifunguka!
Mh Temba na Chegge
Mapanga shaaa!!
0 maoni:
Chapisha Maoni