.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 18 Septemba 2015

Tagged Under:

MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

By: Unknown On: Ijumaa, Septemba 18, 2015
  • Share The Gag

  •  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimian na ndugu wa Marehemu Cornel Pastory,alipowasili kwenye kijiji cha Nyakantutu,wilayani Biharamulo.Dkt Magufuli amemaliza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma na kuelekea nyumbani kwake wilayani Chato kwa mapumziko ya siku mbili,ambapo siku ya jumapili atawahutubia Wananchi mjini humo na kisha kuanza ziara yake mkoani Kagera.
     Marehemu Cornel Pastory enzi za uhai wake
      Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza shule ya Msingi Chato, marehemu, Cornel Pastory. 
      Dk Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
      Dk Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
     Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyakanazi waliokuwa wamefunga barabara wakitaka wamuone na kumsalimia sambamba na kumueleza matatizo yao ili aweze kuyatatua iwapo atapewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano 
     Wananchi wa Nyakanazi wakimsikiliza Dkt Magufuli kwa makini 
      Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi  kwa  wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa wa Kagera leo.

     Baadhi ya wafuasi wa chama cha CCM wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Biharamulo mjini mkoani Kagera.
    Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Biharamulo ili wampigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka hu.
     Wananchi wa Biharamulo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini humo jioni ya leo
     Wakazi wa Biharamulo wakishangilia mara baada ya kusikiliza sera za Dkt Magufuli mapema leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mjini humo .

    0 maoni:

    Chapisha Maoni