Tagged Under:
DE GEA AFUR AHIA UKEPTENI MANCHESTER UNITED!
By:
Unknown
On: Alhamisi, Septemba 24, 2015
Kipa
De Gea amesema anasikia fahari kubwa kufanywa Kepteni wa Manchester
United Jana Usiku wakati walipoifunga Ipswich Town 3-0 Uwanjani Old
Trafford katika Mechi ya Raundi ya 3 ya Capital One Cup.
David De
Gea alirejeshwa Kikosi cha Kwanza cha Man United Mwezi huu baada ya
kutupwa nje kutokana na sakata lake la kuhamia Real Madrid.
Jana,
baada ya Kepteni Wayne Rooney kutoka Uwanjani alipobadilishwa na Memphis
Depay katika Dakika ya 81, utepe wa Kepteni ulipelekwa kwa David De
Gea.
0 maoni:
Chapisha Maoni