




Shujaa wa Mechi hii ni Chipukizi mpya Anthony Martial aliefunga Bao 2 na la 3 kufungwa na Juan Mata huku Graziano Pelle akifunga Bao zote 2 za Southampton.
Pelle alitangulia kuipa Southampton Bao katika Dakika ya 13 na Martial kusawazisha Dakika ya 34 na kupiga Bao la Pili Dakika ya 50 na kufuatiwa na Bao la Mata katika Dakika ya 68 huku Southampton wakifunga Bao lao Pili kwenye Dakika ya 86.








Juan Mata alifanya 3-1 dhidi ya Southampton dakika ya 68, Dakika ya 86 Graziano Pellé aliifungia tena bao Southamton na kufanya 3-2 kwa bao la kichwa.






0 maoni:
Chapisha Maoni