.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 21 Septemba 2015

Tagged Under:

Mtoto wa Beckham amelikataa soka? Haya ndio maneno yaliyomuumiza baba yake

By: Unknown On: Jumatatu, Septemba 21, 2015
  • Share The Gag

  • David Robert Joseph Beckham ni staa wa Soka ambaye kastaafu Soka na kuacha Rekodi kubwa na nzuri zinazoheshimika Duniani, yako maneno kwamba maji hufuata mkondo, mtoto wa Beckham na Soka la Baba yake je?
    Stori ni vice versa, David Beckham kathibitIsha kwamba mtoto wake na Mchezo wa Mpira wa Miguu hata haviendani >>> “Mwanangu mmoja aliniambia kwamba haoni kama atakuja kuwa Mchezaji wa Mpira wa Miguu kwenye maisha yake, ilinivunja moyo kwa upande mwingine“- David Beckham.
    BECKHAM_main_1473299a
    Beckham akiwa na Familia yake kwenye matembezi yao.
    Kwenye sentensi nyingine Beckham anasema mtoto wake ana hofu kwamba wapo watakaolinganisha kiwango chake na baba yake >>> “Kila nikiingia uwanjani najua watu wanasema ‘yule ni mtoto wa Beckham’, nisipokuwa na kiwango kizuri kama wewe hata haipendezi“- David Beckham.
    David-and-his-sons
    Story iko pia kwenye kipande cha video hapa mtu wangu.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni