.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 30 Septemba 2015

Tagged Under:

FAINALI ZA SHINANDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UCHEKESHAJI KUFANYIKA OKTOBA 3 MWAKA HUU JIJINI DAR

By: Unknown On: Jumatano, Septemba 30, 2015
  • Share The Gag


  • Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu Hongera Baa, Sinza jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku.

    Afisa Habari BASATA Aristides Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza

    Washiliki wa shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa shindano la “Valeur Comedy Nights” leo jijini Dar es Salaam

    0 maoni:

    Chapisha Maoni