.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 21 Septemba 2015

Tagged Under:

LIVERPOOL 1 vs 1 NORWICH CITY, MAJOGOO YABANWA MBAVU NYUMBANI ANFIELD!

By: Unknown On: Jumatatu, Septemba 21, 2015
  • Share The Gag

  • 1-1Ibe akipongezwaDanniel Sturridge leo kaingia Uwanjani
    Licha ya Straika wao mahiri Daniel Sturridge kuichezea Liverpool kwa mara ya kwanza baada ya Miezi Mitano akijitibu Nyonga, Liverpool walitoka Sare ya 1-1 na Norwich City.
    Liverpool ndio walitangulia kufunga kupitia Danny Ings kwenye Dakika ya 48 lakini makossa ya Kipa Simon Mignolet kutokana na Mpira wa Kona kulito mwanya katika Dakika ya 61 kwa Russell Martin kuisawazishia Norwich.
    Matokeo haya yameziacha Timu zote 2 kuwa na Pointi 8 baada ya Mechi 6 za Ligi.
    Hoi!1-0 Ibe akishangilia
    VIKOSI:
    Liverpool:
    Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Milner, Lucas, Can, Coutinho, Sturridge, Benteke.
    Akiba: Lovren, Firmino, Gomez, Lallana, Ings, Ibe, Bogdan.

    Norwich: Ruddy, Whittaker, Martin, Bassong, Brady, Tettey, Redmond, Dorrans, Howson, Jarvis, Jerome.
    Akiba: Grabban, Mbokani, Rudd, Hoolahan, Olsson, Ryan Bennett, O'Neil. 

    Refa: Anthony Taylor

    0 maoni:

    Chapisha Maoni