.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 28 Septemba 2015

Tagged Under:

NEWCASTLE UNITED 2 vs 2 CHELSEA,

By: Unknown On: Jumatatu, Septemba 28, 2015
  • Share The Gag


  • MABINGWA wa England Chelsea wamenusurika kipigo huko Saint James Park baada ya kutoka nyuma kwa Bao 2-0 na kupata Sare ya 2-2 katika Mechi ya Ligi Kuu England.
    Newcastle walitangulia Bao 2-0 kwa Bao za Perez na Wijnaldum lakini mabadiliko ya kuwaingiza Willian, Falcao na Ramires yaliwapa uhai Chelsea na kusawazisha Bao zote mbili kupitia Ramires na Willian.
    Matokeo haya yamewaweka Chelsea Nafasi ya 15 wakiwa na Pointi 8 zikiwa ni Pointi 8 nyuma ya Vinara Man United wakati Newcastle wako Nafasi ya 19, ikiwa ni nafasi moja tu toka mkiani, wakiwa na Pointi 3 tu.
    Bao mbili zilizofungwa na Ramires na Willian zikihitimisha dakika 90 baada ya kuwa nyuma ya bao 2-0 dhidi ya Newcatle United zimewaokoa Chelsea leo hii zilizofungwa ndani ya dakika 7 kabla ya mtanange kumalizika.Ayoze Pérez dakika ya 42 na kufanya 1-0 dhidi ya Chelsea.Jose Mourinh

    0 maoni:

    Chapisha Maoni