.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 27 Juni 2016

Tagged Under:

Serikali imetangaza muswada mpya wa sheria ya wanaowapa watoto mimba

By: Unknown On: Jumatatu, Juni 27, 2016
  • Share The Gag

  • June 27 2016 bunge la 11 litany mapitio ya marekebisho ya muswada wa sheria ya mtoto ambayo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto ambaye kisheria anafahamika ni yule mwenye umri wa chini ya miaka 18 basi atahukumiwa kifungo cha jela miaka 30.
    Sheria ya kanuni za adhabu inawagusa hata ambao hawapo shuleni ambao wapo chini ya miaka 18, ukifanya tendo la kujamiiana na mtoto wa chini ya miaka 18 hata kama mlikubaliana utahesabia umebaka‘ –George Masaju

    0 maoni:

    Chapisha Maoni