Cristiano
Ronaldo akishangilia bao lake baada ya kuifunga timu ya Malmo kwenye
Uwanja wa Swedbank Stadium na huku likiwa bao lake la 500 kisoka,
Dakika ya 90 pia aliipatia bao la pili Real Madrid
1-0 Ronaldo akishangilia

Ronaldo akizungukwa na wenzake kupongezwa baada ya kuweka historia kwenye maisha yake ya kisoka leo hii kwenye mchezo wa UEFA Champions Ligi
0 maoni:
Chapisha Maoni