Yohane Cabaye akishangilia bao lake
Patashika
Bao
la mkwaju wa penati kipindi cha pili lilifungwa na Mchezaji wa Cabaye
limetosha kuwapa Ushindi Crystal Palace leo hii kwenye Uwanja wa Ugenini
wa Klabu iliyopanda daraja msimu huu Watford.
Kabaye akishangilia!
Rafu mbaya kwenye eneo la penati!
Yohane Cabaye akichonga penati!
Cabaye akishangilia mbele ya Mashabiki wakeVIKOSI:
Watford: Gomes, Nyom, Cathcart, Prodl, Anya, Capoue, Watson, Abdi, Deeney, Jurado, Ighalo.
Akiba: Arlauskis, Paredes, Ake, Guedioura, Ibarbo, Berghuis, Diamanti.
Crystal Palace: Hennessey, Kelly, Dann, Hangeland, Souare, Ledley, Cabaye, Puncheon, Sako, Bolasie, Gayle
Akiba: McCarthy, Croll, Mariappa, McArthur, Zaha, Gray, Campbell
Refa: Anthony Taylor
0 maoni:
Chapisha Maoni