.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 22 Septemba 2015

Tagged Under:

BUNDESLIGA: JUMANNE BAYERN NA WOLFSBURG, JUMATANO HOFFENHEIM NA DORTMUND!

By: Unknown On: Jumanne, Septemba 22, 2015
  • Share The Gag
  • MABINGWA wa Bundesliga Bayern Munich na Vinara wa Ligi hiyo Borussia Dortmund wana Mechi ngumu za Ligi hiyo ya Germany Leo Jumanne na Jumatano Usiku.
    Jumanne, Bayern Munich wako kwao Allianz Arena kucheza na VfL Wolfsburg ambao wako Nafasi ya 3 baada ya kushinda Mechi 3 na Sare wakiwa na Pointi 11 zikiwa ni Pointi 4 nyuma ya Bayern ambao wako Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 15 sawa na Vinara Borussia Dortmund.
    Msimu huu, Wolfsburg, ambao ndio waliobeba German Cup, walishaifunga Bayern Munich Mwezi Agosti baada ya kuwabwaga kwa Penati kwenye Mechi ya kufungua pazia Msimu mpya ya kugombea Super Cup.
    Nao Borussia Dortmund Jumatano wapo Ugenini kucheza na Hoffenheim wakisaka ushindi wao wa 6 mfululizo kwenye Bundesliga.
    BUNDESLIGA
    RATIBA
    Jumanne Septemba 22

    21:00 Bayern Munich v VfL Wolfsburg
    21:00 Hertha Berlin v Cologne
    21:00 Ingolstadt v Hamburg
    21:00 Darmstadt 98 v Werder Bremen
    Jumatano Septemba 23

    21:00 Schalke 04 v Eintracht Frankfurt
    21:00 Bayer Leverkusen v Mainz
    21:00 Borussia Moenchengladbach v Augsburg
    21:00 Hanover 96 v VfB Stuttgart
    21:00 Hoffenheim v Borussia Dortmund

    0 maoni:

    Chapisha Maoni