.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 28 Septemba 2015

Tagged Under:

AZAM FC 2 vs 1 MBEYA CITY,

By: Unknown On: Jumatatu, Septemba 28, 2015
  • Share The Gag







  • Kipre Tchetche anaiandikia Azam Fc bao la pili dakika ya 52 na kufanya 2-0 dhidi ya Mbeya City. Raphael Alpha anaipa bao Mbeya City dakika ya 56 kipindi cha pili. Azam fc sasa wanapata pointi 12 sasa wakilingana na wengine juu wakitofautiana kwa magoli.
    Bao la Mudathir Yahya kipindi cha kwanzana kwenda mapumziko Azam Fc ikiongoza bao 1-0 dhidi ya Timu ya Mbeya City. 

    Bao hilo lilifungwa mapema dakika ya 10.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni