
Kipa wa Bordeaux akifungwa na Adam Lallana

Lallana akishangilia baada ya kuifunga bao Bordeaux

Lallana akipongezwa na wenzake
Jussieakimfunga kipa wa Liverpool Simon Mignolet
Mchezaji wa Bordeaux Jussie akipongezwa na Diego Rolan
Adam
Lallana dakika ya 65 kipindi cha pili aliipatia bao Liverpool, Bordeaux
walisawazisha kupitia kwa Jussie aliyetokea benchi na kuifungia bao
dakika ya 81 na kufanya mpira umalizike dakika 90 kwa sare ya 1-1.
0 maoni:
Chapisha Maoni