.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 9 Septemba 2015

Tagged Under:

Serena Williams kaendeleza ubora dhidi ya dada yake..sasa kucheza nusu fainali kesho

By: Unknown On: Jumatano, Septemba 09, 2015
  • Share The Gag

  • Serena williams ameendelea kuwa bora zaidi duniani baada ya kumshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele.
    vee

    Serena ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa rekodi bora duniani ameshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa nafasi ya kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani.
    Serena Williams, left, hugs Venus Williams after winning their quarterfinal match at the U.S. Open tennis tournament, Tuesday, Sept. 8, 2015, in New York. (AP Photo/Julio Cortez)
    Katika hatua ya nusu fainali,serena atachuana na mwanadada wa nchini Italia Roberta Vinci kesho.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni