.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 18 Septemba 2015

Tagged Under:

TIMU KIBONDE YA NORWAY YAWATOA SHOO AKINA VAN PERSIE WAKIWA NYUMBANI ISTANBUL

By: Unknown On: Ijumaa, Septemba 18, 2015
  • Share The Gag

  • Timu kibonde ya Molde ya nchini Norway imewatwanga Fenerbahce kwa mabao 3-1 katika mechi ya ufunguzi wa Kundi A ligi ya Europa.


    Kipigo hicho cha kushitua kwa timu hiyo kongwe nchini Uturuki, tena ikiwa na nyota kama Robin van Persie na nani, kimeonyesha kuwashangaza wengi.

    Licha ya kuwa nyumbani, huku ikipata bao la Luis Nani, bado ilishindwa kujirekebisha.

    Bado mchezaji mmoja wa Molde alilambwa kadi nyekundu lakini bado mastaa hao walishindwa kuikomboa timu yao.






    0 maoni:

    Chapisha Maoni