 Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani.

   Rais
 Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya 
umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa 
kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar 
es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa 
Klabu ya Sunderland  ya Uingereza na kampuni ya symbion.
Rais
 Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya 
umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa 
kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar 
es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa 
Klabu ya Sunderland  ya Uingereza na kampuni ya symbion.  Rais
 Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya 
umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa mradi huo 
wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa 
vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. 
Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland
Rais
 Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya 
umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa mradi huo 
wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa 
vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. 
Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland  ya Uingereza na kampuni ya symbion
 
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vijana wa kandanda mwenye kutambulika na FIFA kutoka Uingereza wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
PICHA NA MICHUZI
 
0 maoni:
Chapisha Maoni