.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 29 Novemba 2015

Tagged Under:

U15 YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

By: Unknown On: Jumapili, Novemba 29, 2015
  • Share The Gag

  • Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) leo hii imekabidhiwa bendera ya Taifa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel katika hosteli za TFF zilizopo Karume jijini Dar es salaam. Akiongea wakati wa kukabidhi bendera kwa timu hiyo ya vijana, Ole Gabriel amewashukuru TFF kwa kuwekeza katika soka la vijana, na kusema mafaniko yote yanandaliwa chini, hivyo analipongeza Shirikisho kwa kuamua kuwalea na kuwaendeleza vijana hawa wenye vipaji kwa manufaa ya taifa ya baadae.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni