.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 4 Novemba 2015

Tagged Under:

KOMBE LA SHIRIKISHO AZAM SPORTS KUANZA NOVEMBA 8

By: Unknown On: Jumatano, Novemba 04, 2015
  • Share The Gag

  • Michuano ya Kombe la Shirikisho ya Azam Sports inafunguliwa rasmi Jumapili (Novemba 8, 2015) kwa mechi tatu zitakazochezwa kwenye viwanja vitatu tofauti.
    Mechi rasmi ya ufunguzi itakuwa kati ya wenyeji JKT Rwamkoma ya Mara na Villa Squad ya Dar es Salaam itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Musoma.
    Siku hiyo pia kutakuwa na mechi kati ya Kariakoo ya Lindi na Changanyikeni FC ya Dar es Salaam itakayochezwa kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi, wakati Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Wenda FC ya Mbeya na Madini SC ya Arusha.
    Bingwa wa michuano hiyo inayodhaminiwa na Azam Sports HD ataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka 2017.
    Ratiba ya raundi ya awali ya michuano hiyo imeambatanishwa (attached).
    IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

    RATIBA YA AWALI

    08.11.2015
    1
    JKT RWANKOMA
      VILLA SQUAD
    KARUME-MUSOMA
    08.11.2015
    2
    WENDA FC
      MADINI FC
    SOKOINE
    08.11.2015
    3
    KARIAKOO
      CHANGANYIKENI
    ILULU
    10.11.2015
    4
    SABASABA FC
      ABAJALO TABORA
    MABATINI
    10.11.2015
    5
    MILAMBO FC
      THE MIGHTY ELEPHANT
    ALI HASSAN MWINYI
    11.11.2015
    6
    SINGIDA UNITED
      BULYAKHULU SC
    NAMFUA
    11.11.2015
    7
    ABAJALO DAR
      TRANSIT CAMP
    KARUME
    11.11.2015
    8
    MKAMBA RANGERS
      MVUVUMWA
    KILOMBERO
    21.11.2015
    9
    AFC
      POLISI MARA
    SHEIKH AMRI ABEID
    21.11.2015
    10
    PAMBA SC
      POLISI DODOMA
    CCM KIRUMBA
    22.11.2015
    11
    PANONE FC
      COCACOLA KWANZA
    USHIRIKA
    22.11.2015
    12
    MAGEREZA IRINGA
      POLISI DAR
    WAMBI MUFINDI
    23.11.2015
    13
    POLISI TABORA
      GREEN WARRIORS
    ALI HASSAN MWINYI
    24.11.2015
    14
    RHINO RANGERS
      ALLIANCE
    ALI HASSAN MWINYI
    25.11.2015
    15
    RUVU SHOOTING
      COSMOPOLITAN
    MABATINI
    26.11.2015
    16
    POLISI MOROGORO
      MSHIKAMANO
    JAMUHURI MOROGORO

    0 maoni:

    Chapisha Maoni