Everton
wakiwa kwenye Uwanja wao wa Goodson Park wanaongoza bao 2-0 dhidi ya
Sunderland, Bao zikifungwa na Gerard Deulofeu dakika ya 19 na lile la
Arouna Koné dakika ya 31Sunderland bao lao la kipindi cha kwanza limefungwa dakika za majeruhi kipindi cha kwanda dakika ya 45 kupitia kwa Defoe baada ya kuwakaanga mabeki na kuachia shuti na kupata bao, mpaka mapumziko Everton 2 Sunderland 1.
Mbele ya mashabiki 36617
Everton bao zake zimefungwa na
Gerard Deulofeu 19'
Arouna Koné 31'
Sebastián Coates 55' OG
Romelu Lukaku 60'
Arouna Koné 62'
Arouna Koné 76'
Sunderland bao zake zimefungwa na
Jermain Defoe 45' +4'
Steven Fletcher 50'
0 maoni:
Chapisha Maoni