.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 4 Novemba 2015

Tagged Under:

LOUIS VAN GAAL AMTAKA ANTHONY MARTIAL KUSHAMBULIA

By: Unknown On: Jumatano, Novemba 04, 2015
  • Share The Gag

  • Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal anahisi kuwa mchezaji Anthony Martial ataongoza safu ya mashambulizi katika siku za usoni.
    Mchezaji huyo wa miaka 19, aliyesajiliwa kutoka klabu ya Monaco kwa pauni milioni 36, mnamo mwezi Agosti amefunga mabao matano msimu huu, lakini amekuwa akichezeshwa upande wa kushoto, ikiwemo mechi ya jumanne dhidi ya CSKA Mosco.
    "ni kijana mdogo sana, lakini ni bora iwapo ataimarika kama mshambuliaji", alisema Van Gaal.Van Gaal

    0 maoni:

    Chapisha Maoni