.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 23 Novemba 2015

Tagged Under:

RATIBA..UEFA CHAMPIONS LEAGUE-JUMANNE MACCABI v CHELSEA, BARCELONA v AS ROMA, ARSENAL v DINAMO ZAGREB, JUMATANO...MAN UNITED v PSV EINDHOVEN

By: Unknown On: Jumatatu, Novemba 23, 2015
  • Share The Gag

  • Jumanne Usiku Chelsea wako Ugenini kucheza Mechi ya Kundi G la UEFA CHAMPIONS, Dhidi ya Maccabi Tel Aviv wakiwa na matumaini ya kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu wakiwa na Mechi 1 mkononi.
    Hapo kesho, Chelsea wanaweza kufuzu wakiishinda Maccabi ambayo ishatupwa nje ikiwa Dynamo Kiev haishindi Mechi yao na FC Porto huko Ureno.
    Na hata Sare kwa Chelsea inaweza kuwasaidia ikiwa FC Porto itaifunga Dynamo Kiev.
    Chelsea wanatinga kwenye Mechi hii wakiwa kwenye morali nzuri baada ya Jumamosi kushinda Mechi yao ya kwanza ya kutoshinda Mechi 3 kwa kuifunga Norwich City 1-0 katika Ligi Kuu England.
    Pia Chelsea wanarudiana na Maccabi ambayo waliitwanga 4-0 katika Mechi yao ya kwanza huko Stamford Bridge.
    Lakini Maccabi, chini ya Kocha kutoka Serbia, Slavisa Jokanovic, ambae aliwahi kuichezea Chelsea na pia wanae Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Tal Ben Haim, wameahidi kutia ngumu licha ya kuwa tayari wapo nje ya Mashindano haya.
    UEFA CHAMPIONS LEAGUE
    RATIBA 

    Mechi  kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku.
    Jumanne Novemba 24

    KUNDI E
    20:00 BATE Borislov v Bayer Leverkusen
    Barcelona v AS Roma
    KUNDI F
    Arsenal v Dinamo Zagreb
    Bayern Munich v Olympiakos
    KUNDI G
    FC Porto v Dynamo Kiev
    Maccabi Tel Aviv v Chelsea
    KUNDI H
    2000 Zenit Saint Petersburg v Valencia
    Lyon v KAA Gent
    Jumatano Novemba 25
    KUNDI A
    Malmö FF v Paris St Germaine
    Shakhtar Donetsk v Real Madrid
    KUNDI B
    20:00 CSKA v VfL Wolfsburg
    Man United v PSV Eindhoven
    KUNDI C
    18:00 FC Astana v Benfica
    Atletico Madrid v Galatasaray
    KUNDI D
    Borussia Mönchengladbach v Sevilla
    Juventus v Man City

    0 maoni:

    Chapisha Maoni