.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 4 Novemba 2015

Tagged Under:

KANU BALOZI MPYA WA STARTIMES BARANI AFRIKA

By: Unknown On: Jumatano, Novemba 04, 2015
  • Share The Gag


  •  Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes nchini Naigeria, Bw. Jack Liu (wa pili kulia) akiwa ameshikilia sare ya kampuni hiyo pamoja na mabalozi wapya Jonathan Akpoborie (wa kwanza kushoto) na Kanu Nwankwo (katikati) wakati wa hafla fupi ya kuwatambulisha mabalozi wapya wa kampuni hiyo jijini Lagos Naigeria mwishoni mwa wiki. Wakijumuika kwa pamoja katika tukio hilo ni wafanyakazi wa kampuni hiyo nchini Naijeria Bw. Maxwell Loko na Dare kafar (wa kwanza kushoto).

     Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes nchini Naigeria, Bw. Jack Liu (wa pili kulia) akiwa ameshikilia sare ya kampuni hiyo pamoja na mabalozi wapya Jonathan Akpoborie (wa kwanza kushoto) na Kanu Nwankwo (katikati) wakati wa hafla fupi ya kuwatambulisha mabalozi wapya wa kampuni hiyo jijini Lagos Naigeria mwishoni mwa wiki. Wakijumuika kwa pamoja katika tukio hilo ni wafanyakazi wa kampuni hiyo nchini Naijeria Bw. Maxwell Loko na Dare kafar

    0 maoni:

    Chapisha Maoni