.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 4 Novemba 2015

Tagged Under:

ONESHO LA SWAHILI FASHION WEEK LAZINDULIWA JIJINI DAR

By: Unknown On: Jumatano, Novemba 04, 2015
  • Share The Gag


  • Mwanamitindo wa hapa nchini, Mustafa Assanali kulia na Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, Godfrey Mngereza wakifungua pazia kuzindua Onesho la Swahili Fashion Week leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam aambalo litakuwa na mwendelezo wa kuonesha ubunifu wa mitindo kwa siku tatu mfululizo litakalokuwa likifanyika katika hoteli ya Sea Clief jijini Dar es Salaam.
    Mwanamitindo wa hapa nchini, Mustafa Assanali akizunguza na waandishi wa habari leo katika mkutano na waandishi wa habar jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na uzinduzi wa onesho la Swahili Fashion week iliyozinduliwa leo ikiwa tunakaribia mwishoni mwa mwaka Mwanamitindo huyo amesema kuwa katika uzinduzi huo kutakuwa na  siku tatu mfululizo za wanamitindo mbalimbali wataonyesha mitindo, Urembo na mitindo ya maisha katika onyesho litalokuwa likifanyika katika hoteli ya Sea Clif jijini Dar es Salaam.
    Pia amesema kuwa onyesho hilo la mavazi lina nia ya kusisitiza jamii kuwa mitindo ni pato linalozalisha tsinia ya ubunifu pia ni kukuza dhana ya bidhaa ya Afrika ikiwa kwa mwaka huu onesho la Swahili Fashion Week ni la nane tangu lianzishwe hapa nchini.
    Kushoto ni Afisa Udhamini na matukio wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano wa uzinduzi wa Onesho la Swahili Fshion Week uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Maneja wa masoko wa kapuni ya magari ya Jaguar hapa nchini, Jennifer Gower.
    Baadhi wa habari wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa Onesho la Swahili Fashion Week iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni