.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 29 Novemba 2015

Tagged Under:

TOTTENHAM HOTSPUR 0 v 0 CHELSEA,

By: Unknown On: Jumapili, Novemba 29, 2015
  • Share The Gag


  • Tottenham wameikosa nafasi ya kupanda kwenye Ligi Kuu England na kukamata Nafasi ya 4 baada ya kutoka 0-0 na Chelsea kwenye Mechi ya Dabi ya London iliyochezwa White Hart Lane.
    Sare hii imewabakisha Tottenham Nafasi ya 5 na kuwaweka Chelsea Nafasi ya 14.
    Katika Kipindi cha Kwanza, Kipa wa Chelsea, Asmir Begovic, ndie alisumbuka sana kwa kuokoa michomo kadhaa ikiwepo ile ya out Son Heung-min, kwa Kichwa, na Shuti la chini la Mousa Dembele.
    Leo Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alimpia Benchi Diego Costa na kumuanzisha Eden Hazard kama Fowadi kitu ambacho kilimkera Costa alieonekana kuvua gwanda lake la juu na kulitupa alipo Mourinho alipoona haingizwi.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni