Ozil akishangilia bao lake la kwanza
Alexis
Sanchez nae akipeta baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0. Alexis
pia kipindi cha pili dakika ya 69 alipachika bao la tatu na kufanya
3-0.
Pongezi kwa Alexis
Alexis akiponggezwa..
Shngwe mbele ya Mashabiki
1-0
Alexis Sanchez akifanya yake kwa kuachia shuti kali
Pongezi kwa Ozil

BAO l kwanza la Arsenal limefungwa na Mesut Özil kipindi cha kwanza dakika ya 29 na Alexis Sánchez akaifungisia bao la pili dakika ya 33 baada ya kuongeza Mashambulizi kwenye lango la Timu ya Dinamo Zagreb na kuwabana kwa kubaki wakishangaa katika kipindi hicho cha kwanza.
Meneja Arsene Wenger
Joel
Kikosi cha Arsenal kilichoanza dhidi ya Dinamo Zagreb
0 maoni:
Chapisha Maoni