.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 26 Novemba 2015

Tagged Under:

Paul Pogba alivyowaenzi wahanga wa shambulio Paris wakati wa mchezo wa ligi ya mabingwa

By: Unknown On: Alhamisi, Novemba 26, 2015
  • Share The Gag


  • Jana klabu ya Manchester City ilikubali kipigo cha bao 1-0  dhidi ya Juventus ikiwa ni ligi ya mabingwa Ulaya.
    Kiungo wa Juve Paul Pogba jana usiku alionesha uzalendo kwa taifa lake hilo baada ya kuvalia viatu maalumu vyenye rangi ya bendera ya Ufaransa kama sehemu ya kuwaenzi wahanga wa shambulio la kigaidi lililotokea katika jiji la Paris, Ufaransa.
    Football Soccer - Juventus v Manchester City - UEFA Champions League Group Stage - Group D - Juventus Stadium, Turin, Italy - 25/11/15 Juventus' Paul Pogba's boots Action Images via Reuters / Andrew Couldridge Livepic EDITORIAL USE ONLY.
    Kiungo huyo alikuwa mmoja wa watu waliokuwepo uwanjani wakati magaidi wanafanya mashambulizi nje ya uwanja wa Stade de France wiki iliyopita huku watu wasiopungua 124 wakipoteza maisha.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni