Marko Arnautovic akishangilia bao lake la pekee na ushindi
Marko Arnautovic dakika ya 53 aliitangulizia bao Stoke City na kufanya bao kuwa 1-0 dhidi ya Chelsea.
1-0
Ramires akiachia shuti katika kipindi cha kwanza walichokimaliza 0-0
VIKOSI:
Stoke City: Butland, Johnson, Shawcross, Wollscheid, Pieters, Adam, Whelan, Shaqiri, Krkic, Arnautovic, Walters.
Akiba: Ireland, Wilson, Afellay, Diouf, Cameron, Crouch, Haugaard.
Chelsea: Begovic, Azpilicueta, Zouma, Terry, Baba, Ramires, Matic, Pedro, Willian, Hazard, Costa.
Akiba: Fabregas, Oscar, Mikel, Kenedy, Remy, Cahill, Amelia.
Refa: Anthony Taylor

Begovic langonikuokoa jahazi
Makocha
wasaidizi Steve Holland (right), Rui Faria na Silvino Louro kwenye
benchi wakiendesha Timu leo baada ya Kocha mkuu Jose kufungiwa mechi
moja.
Mashabiki

Hazard kaanza..
0 maoni:
Chapisha Maoni